Monday, March 12, 2012

Washukiwa Wa Ugaidi

Washukiwa Wa Ugaidi

Familia za washukiwa wa ugaidi zimeonekana kughadhabishwa na jnsi serikali ya Kenya inavyoshughulikia swala hilo,na sasa kutiwa nguvuni kwa Al-amin Kimathi kumeonekana kuwatia kiwewe zaidi huku wengine wakikata tamaa kuwaona wapendwa wao tena ..hata hivyo wengine wana imani kwamba hii ni mahangaiko yanayopita.





0 comments: